JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Waziri Mkuu wa Japan atangaza kujiuzulu

Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba ametangaza kujiuzulu Jumapili baada ya chini ya mwaka mmoja madarakani. Tangazo lake limekuja baada ya chama chake cha Liberal Democratic Party (LDP), kupoteza wingi wa viti bungeni. Ishiba, mwenye miaka 68, alisema ataendelea kushika…

Mgomo wasababisha mamilioni ya abiria kukwama London

Mamilioi ya watu wanajiandaa kwa wiki ya changamoto ya usafiri jijini London Uingereza kutokana na mgomo wa treni za chini kwa chini. Mamilioni ya watu wanajiandaa kwa wiki ya hekaheka na matatizo ya usafiri jijini London Uingereza huku wafanyakazi wa…

Trump yuko tayari kwa vikwazo vipya dhidi ya Urusi

Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria yuko tayari kuongeza shinikizo dhidi ya Urusi kwa awamu ya pili ya vikwazo. Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akijibu swali la mwandishi habari katika ikulu yake mjini Washington siku ya Jumapili lakini hakusema…

Israel yaamuru Wapalestina kuondoka Gaza City

Jeshi la Israel limewataka Wapalestina kuondoka kwenye mji wa Gaza City na kuhamia katika eneo ambalo imesema ni “salama” kwao lililopo upande wa kusini. Amri hiyo ilitolewa wakati jeshi hilo linatanua kampeni ya kijeshi kwenye mji huo ulio mkubwa zaidi…

Putin: Niko tayari kukutana na Zelensky mjini Moscow

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema yuko tayari kukutana na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky mjini Moscow. Pia ameapa kuendelea kupigana na Ukraine kama makubaliano ya amani hayatofikiwa. Pia Putin ameapa kuendelea kupigana na Ukraine kama makubaliano ya amani hayatofikiwa….

Trump: Marekani huenda ikafuta makubaliano na Ulaya

Rais Donald Trump amesema Marekani huenda ikalazimika kufuta makubaliano ya kibiashara iliyoingia na Umoja wa Ulaya, Japan, Korea Kusini na wengine, iwapo itashindwa katika kesi yake kuhusu uhalali wa ushuru. Akizungumza na waandishi wa habari mwanzoni mwa mkutano na Rais…