Category: Kimataifa
Watu zaidi ya 1,000 wafariki kwa tetemeko la ardhi Myanmar
MAMLAKA nchini Myanmar imesema leo kwamba tetemeko kubwa la ardhi limewaua zaidi ya watu 1,000 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 2,300 huku makumi ya wengine wakiwa hawajulikani walipo. Mamlaka nchini Myanmar imesema leo kwamba tetemeko kubwa la ardhi limewaua zaidi…
Wimbi jipya la mashambulizi ya Israel laua watu 921 Gaza
Wizara ya afya katika Ukanda wa Gaza inayodhibitiwa na kundi la Hamas imesema leo Jumamosi kwamba watu 921 wameuawa katika eneo la Palestina tangu Israel ilipoanzisha wimbi jipya la mashambulizi mnamo Machi 18 mwaka huu. Wizara ya afya katika Ukanda…
Moto mkubwa wa msituni wauwa watu 24 Korea Kusini
Moto mkubwa wa misituni unaoendelea kwa siku ya tano mfululizo katika maeneo ya kusini mashariki mwa Korea Kusini umesababisha vifo vya watu 24. Maafisa wamesema zaidi ya watu 27,000 wamelazimika kuhamishwa. Rais wa mpito wa nchi hiyo, Han Duck-soo, amesema…
Urusi, Ukraine zakubaliana kusitisha mashambulizi baharini
Urusi na Ukraine zimekubaliana kusitisha mapigano katika Bahari Nyeusi katika mikataba tofauti na Marekani, baada ya siku tatu za mazungumzo ya amani nchini Saudi Arabia. Serikali ya Washington ilisema pande zote zitaendelea kufanya kazi kuelekea “amani ya kudumu ” katika…
Jopo la wasuluhishi laundwa kumaliza mzozo wa Kongo
Mkutano wa kilele uliowaleta pamoja wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika, SADC, na Jumuiya ya Afrika Mashariki, umeunda jopo la wasuluhishi katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kwa mujibu wa tangazo…
Marekani, Urusi zakabiria muafaka kuhusu Ukraine
Maafisa wa Marekani na Urusi wamekamilisha mazungumzo ya siku moja jana Jumatatu, wakiangazia pendekezo la mapatano ya kusitisha vita baharini kati ya Kyiv na Moscow, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kidiplomasia zinazonuwiwa kuchangia mazungumzo mapana ya amani. Lakini hata…