JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Kim Jong Un akerwa na ajali kwenye uzinduzi wa meli ya kivita

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameonyesha kughadhabishwa na ajali mbaya iliyotokea Jumatano wakati wa uzinduzi wa meli mpya ya kivita nchini humo akisema ni uzembe wa hali ya juu. Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameitaja…

Trump amshambulia Ramaphosa kwa mauaji ya wazungu

RAIS Donald Trump amemshambulia Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa jana Jumatano baada ya kumchezea video iliyoonyesha madai ya mauaji ya kimbari yanayofanywa dhidi ya wazungu. Rais Trump alisema wakulima hao sasa wanalazimika kukimbilia Marekani ili kunusuru maisha yao. Trump…

Iran yasisitiza haitoacha urutubishaji wa urani

Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani. Tamko hili la Araghchi linaonyesha msimamo wa jamhuri hiyo ya Kiislamu katika mazungumzo yake na Marekani kuhusiana na mpango wake wa nyuklia unaokuwa kwa…

Waziri Mkuu wa zamani DRC ahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa ufisadi

Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Augustin Matata Ponyo, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela pamoja na kufanya kazi ngumu, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha za umma. Hukumu hiyo imetolewa na…

Wanajeshi sita wa Ukraine wauawa katika shambulio la Urusi

Shambulio la kombora la Urusi kwenye mazoezi ya kijeshi katika eneo la mpaka la Sumy la Ukraine limewaua wanajeshi sita na kuwajeruhi zaidi ya wengine 10, imesema Wizara ya Ulinzi ya Kitaifa ya Ukraine. Wizara ya ulinzi ya Urusi hapo…

Ugonjwa unaomkabili Biden waibua maswali

Tangazo la Joe Biden kwamba amepatikana na saratani ya tezi dume limefufua maswali kuhusu masuala ya kiafya ambayo rais huyo wa zamani wa Marekani alikuwa akikabiliana nayo alipokuwa katika Ikulu ya White House. Katika taarifa ya Jumapili, ofisi ya Biden…