Category: Kimataifa
Papa Francis azikwa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amezikwa hii jana mjini Roma, katika mazishi yaliyohudhuriwa na maelfu ya watu wakiwemo viongozi wa dini na marais kutoka kote uliwenguni. Papa Francis amezikwa kwenye Kanisa alilolichagua la Mtakatifu Maria Maggiore mjini Roma,…
Watu 200,000 wahudhuria mazishi ya Papa Francis
Uongozi wa Kanisa Katoliki Duniani umesema takriban watu 200,000 wamehudhuria misa ya mazishi ya Papa Francis iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican. Licha ya uwepo wa marais na wakuu wa nchi, mazishi ya Papa Francis yamehudhuriwa na…
Trump atoa wito kwa Urusi kusitisha mashambulizi Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi kusitisha mashambulizi dhidi ya Ukraine, saa chache baada ya Urusi kuishambulia Ukraine kwa makombora na droni. Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi…
China yarejesha ndege za Boeing ilizoagiza Marekani kwa ushuru
China imerudisha ndege ilizoagiza kutoka Marekani ikiwa ni tukio la hivi karibuni la kulipiza kisasi ushuru wa Trump, mkuu wa kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing amesema. Kelly Ortberg alisema ndege mbili tayari zimerudishwa na nyingine itafuata baada ya mvutano…
Urusi yaishambulia Kyiv kwa kombora na droni – Meya
Takriban watu tisa wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa, wakiwemo watoto, katika shambulio la usiku la kombora la Urusi na ndege zisizo na rubani kwenye mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, amesema afisa wa eneo hilo. Meya wa Kyiv, Vitali Klitschko amesema…
Congo na M23 wakubali kutafuta amani
Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, siku ya Jumatano waliahidi katika taarifa iliyotolewa baada ya mazungumzo nchini Qatar kutafuta amani baada ya ghasia kupamba moto mwezi Januari huko Mashariki mwa Congo,…