Category: Kimataifa
Shambulio la Israel laua watu 29 Gaza
Waokoaji katika ukanda wa Gaza wamesema mashambulizi ya Israel yaliyofanywa leo Jumatano yamewaua watu 29 na wengine wamejeruhiwa katika eneo la kaskazini mwa Gaza la Jabalia. Waokoaji katika ukanda wa Gaza wamesema mashambulizi ya Israel yaliyofanywa leo Jumatano yamewaua watu…
Trump atangaza kuiondolea vikwazo vyote Syria
RAIS wa Marekani Donald Trump ametangaza kuiondolea vikwazo vyote Syria akisema kwamba ni wakati wa nchi hiyo “kusonga mbele” na hivyo kuipa nafasi ya kuanza kuufufua uchumi wake ulioporomoka kutokana na vita. Rais Donald Trump alisema kuwa Marekani haina mshirika…
Marekani yaidhinisha uuzaji wa ndege za kijeshi kwa UAE
Maafisa wa Marekani wamesema Wizara ya Mambo ya Nje imeidhinisha mauzo ya ndege za kijeshi na silaha zenye thamani ya dola bilioni 1.4 kwa UAE kuelekea ziara ya Rais Donald Trump wiki hii Mashariki ya Kati. Maafisa kutoka idara ya…
Marekani na China zakubaliana kupunguziana ushuru
Waziri wa Fedha wa Marekani Scott Bessent, ametangaza makubaliano ya ushuru wa forodha kati ya Marekani na China. Besented: Ushuru kushuka kwa 115% Bessent amesema baada ya majadiliano “madhubuti”, Marekani na Uchina zimekubaliana kusitisha ushuru uliopandishwa kwa siku 90 “kwa…
Papa Leo XIV atangaza sera za uongozi wake
KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ametangaza Jumamosi sera za uongozi wake, huku akiitaja teknolojia ya akili mnemba kama moja ya changamoto kubwa kwa ulimwengu. Papa Leo alisema teknolojia hiyo ya akili mnemba (AI) inahatarisha harakati za…
Ukraine: Tupo tayari kusitisha mapigano kwa siku 30
Ukraine imesema iko tayari kwa usitishaji mapigano na Urusi kwa muda wa siku 30 kuanzia siku ya Jumatatu. Hayo yameelezwa na waziri wa mambo ya kigeni wa nchi hiyo Andrii Sybiha katika wakati viongozi wa mataifa manne ya Ulaya wako…





