Category: Kimataifa
Msimamo wa Israel kuhusu vita haujabadilika
ISRAEL bado haijatoa majibu ya uhakika kuhusu mapendekezo mapya ya kusitisha vita kwenye Ukanda wa Gaza ambayo yaliridhiwa siku ya Jumatatu na kundi la Hamas. Vyanzo vilivyo karibu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu vimeyaambia mashirika kadhaa ya habari…
Kanisa la miaka 113 kuhamishwa hadi katikati ya jiji la Uswidi
Kanisa la kihistoria ambalo limekuwepo kwa miaka 113 lililo hatarini kuzama kutokana na mtikiso wa chini ya ardhi linakaribia kuhamishwa lote jinsi lilivyo- kwa mwendo wa kilomita 5 (maili 3) kando ya barabara kaskazini mwa Uswidi. Kanisa hilo lenye muundo…
Mkutano wa amani kati ya Putin na Zelenskyy wanukia
Rais wa Urusi na Ukraine wanatazamiwa mnamo siku chache zinazokuja kufanya mazungumzo ya amani ambayo yatakuwa ya kwanza tangu Moscow ilipoivamia Ukraine zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Matumaini ya mkutano huo kati ya Rais Vladimir Putin wa Urusi na Volodymyr…
Ukraine : Inafanya iwe vigumu vita kumalizika –
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa hatua ya Urusi kukataa kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano inatatiza juhudi za kumaliza vita. “Tunaona kwamba Urusi inakataa wito wa kusitishwa kwa mapigano na bado haijaamua ni lini itakomesha mauaji. Hii inafanya hali…
Marekani yaiwekea vikwazo DRC
Marekani imeliwekea vikwazo kundi lenye silaha nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo linalofanya kazi na serikali ya Kinshasa, chama cha ushirika cha uchimbaji madini nchini humo, na makampuni mawili ya Hong Kong, ikiwatuhumu kuchangia ukosefu wa usalama nchini DRC na…
Trump amuonya Putin
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin ikiwa hatokubali kumaliza vita nchini Ukraine. Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin ikiwa hatokubali…





