JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Israel yasitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza

Israel imesitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza huku ikijaribu kuishinikiza Hamas kukubali kuongezwa muda wa awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano. Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas kimsingi yalimalizika mwishoni mwa wiki iliyopita….

‘Ulaya imeendelea kutegemea silaha kutoka Marekani’

Nchi za NATO barani Ulaya ziliongeza zaidi ya maradufu uagizaji wa silaha huku ikinunua zaidi ya asilimia 60 ya silaha za Marekani, hii ikiwa ni kulingana na ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Amani (SIPRI). Nchi za Ulaya…

Papa aendelea vizuri na matibabu

Papa Francis, ambaye amekuwa akiugua homa ya mapafu na mkamba kwa zaidi ya wiki tatu, aliwasifu wahudumu wa afya wanaomhudumia kwa uangalizi wao wa huruma. Kwa Jumapili ya nne mfululizo, papa wa Argentina hakuwepo kutoa baraka zake za kila wiki,…

Mashambulizi ya Urusi yaua watu 25 Ukraine

TAKRIBAN watu 25 wamefariki nchini Ukraine katika wimbi la hivi punde la mashambulizi ya Urusi, maafisa wa Ukraine wanasema, huku mzozo huo ukiwa hauonyeshi dalili zozote za kurudi nyuma. Shambulio moja katika Mkoa wa Donetsk liliua takriban watu 11 na…

Rais Ruto, Odinga watia saini mkataba wa kisiasa kwa ajili ya umoja wa taifa

Rais wa Kenya, William Ruto, na Kiongozi wa Upinzani, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, wametia saini rasmi mkataba wa kisiasa unaoashiria juhudi mpya za kushirikiana katika uongozi wa serikali moja. Mkataba huo, ambao umeunganisha chama tawala cha United Democratic…

Urusi imeshambulia Ukraine usiku kucha

Takriban watu wanane wameuawa katika mfululizo wa mashambulizi ya usiku yaliyofanywa na Urusi kote nchini Ukraine. Haya ndio tunayojua kufikia sasa: