JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Trump, Netanyahu wakutana tena kumaliza vita ya Gaza

Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wamekutana kwa mara ya pili katika muda wa saa 24 huku rais huyo akizidisha shinikizo kwa Netanyahu kumaliza vita huko Gaza. Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri…

Historia ya maandamano ya Saba Saba Kenya

Kila mwaka ifikiapo Julai 7, Kenya huadhimisha Saba Saba,kama siku iliyokita mizizi katika mapambano ya muda mrefu ya demokrasia . Kilichoanza mwaka wa 1990 kama maandamano ya kijasiri dhidi ya utawala wa chama kimoja wa rais wa awamu ya pili…

Israel yaanzisha mashambulizi maeneo ya Wahouthi huko Yemen

Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen. Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha wanacholenga ikiwa ni pamoja na meli ya kibiashara ya Galaxy. Meli hiyo,…

Israel yafanya mashambulizi ya anga katika bandari Yemen

Israel imesema kwamba imefanya mashambulizi ya anga kwenye mji wa bandari wa Hodeida wa Yemen na maeneo mengine yanayoshikiliwa na waasi wa Huthi. Israel imesema kwamba imefanya mashambulizi ya anga kwenye mji wa bandari wa Hodeida wa Yemen na maeneo…

Hamas yakaribisha mazungumzo ya kusitisha vita

Shirika la ulinzi wa raia la Gaza limetangaza kuwa operesheni za kijeshi za Israel zimesababisha vifo vya watu 32 katika Ukanda wa Gaza. Kwa mujibu wa msemaji wa shirika hilo jana, Mahmud Bassal, watu wanane wameuawa kwenye mashambulizi mawili yaliyolenga…

Rais Ruto kujenga kanisa kubwa Ikulu

Rais wa Kenya William Ruto amesema anajenga kanisa katika Ikulu jijini Nairobi ambalo atagharamia mwenyewe – na kuongeza kuwa hana sababu yoyote ya kuomba msamaha. “Sitamwomba mtu yeyote msamaha kwa kujenga kanisa. Shetani anaweza kuwa na hasira na anaweza kufanya…