Wajasiriamali wabainisha fursa kwenye taka

DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Kuna fursa nyingi za kiuchumi na kimazingira ambazo zimejificha katika taka ambazo kimsingi zinaonekana hazina faida yoyote katika jamii. Hayo yamebainika katika maonyesho ya siku mbili ya wajasiriamali wa mazingira nchini. Katika maonyesho hayo yaliyofanyika Desemba 11 na 12 katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, wajasiriamali hao wameonyesha shughuli…

Read More

Safari ya Uingereza kuondoka EU yaiva

London, Uingereza Safari ya Uingereza kujiondoa katika Jumuiya ya Ulaya (EU), maarufu kama Brexit imeiva. Hii ni baada ya Chama cha Conservative chini ya Waziri Mkuu Boris Johnson kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba 12. Boris sasa ataweza kupitisha hoja zake za kuiondoa Uingereza EU kwani amepata idadi kubwa ya wabunge ambayo itamwezesha…

Read More

TMDA yakamata dawa bandia za mamilioni

Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita Mamlaka ya Vifaa Tiba na Dawa (TMDA) imefanikiwa kukamata  dawa bandia zisizofaa kwa matumizi ya binadamu na mifugo zenye thamani ya Sh milioni 56.966. Taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo inaonyesha kuwa katika mwaka wa fedha 2018/2019 TMDA ilifanya ukaguzi  maalumu wa dawa za binadamu na mifugo katika mikoa ya…

Read More

Wapinzani sasa wataka Jafo ajiuzulu

Sakata la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 24, mwaka huu limechukua sura mpya baada ya wapinzani kumtaka Waziri wa Tamisemi, Selemen Jafo, kujiuzulu kutokana na ofisi yake kuvuga uchaguzi huo. Kuondolewa kwa zaidi ya asilimia 90 ya wagombea wa upinzani kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kasoro wakati wa ujazaji wa fomu za…

Read More