Category: Kimataifa
EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi
UMOJA wa Ulaya (EU) unatarajiwa kuidhinisha awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi ikiwa ni hatua nyingine ya kushinikiza Kremlin kusitisha uvamizi wake dhidi ya Ukraine. Hatua hiyo imecheleweshwa kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana na upinzani kutoka Slovakia, ambayo…
Umri wa kunywa pombe kuongezwa Kenya hadi miaka 21
Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) inapanga kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu uuzaji na unywaji wa pombe na dawa za kulevya. Sera ya taifa hilo ya kudhibiti matumizi haramu ya…
Urusi: Tumekiteka kijiji kingine Ukraine
Urusi imesema imekiteka kijiji kingine magharibi mwa mkoa wa Donesk nchini Ukraine Jumapili 13.07.2025 wakati vikosi vyake vikiendelea kupata mafanikio na kusonga mbele kuelekea katika mkoa jirani wa Dnipropetrovs. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imekitaja kijiji hicho kuwa ni cha Myrne…
Jaji azuia utawala wa Trump kuwakamata ‘kiholela’ wahamiaji
Jaji wa California ameamuru utawala wa Trump ukomeshe kuwazuia ‘kiholela’ watu wanaodhaniwa kuwa nchini Marekani kinyume cha sheria. Uamuzi huo ulitolewa katika amri ya zuio la muda iliyotolewa dhidi ya serikali siku ya Ijumaa, ambayo pia inazuia maafisa wa uhamiaji…
Juhudi za kuvimaliza vita vya Ukraine zaendelea
Mgogoro wa Ukraine unaendelea kuingia katika hatua ngumu, huku mashambulizi ya kijeshi yakiendelea kuathiri maisha ya raia. Wakati juhudi za kidiplomasia, misaada ya kimataifa, na msukumo wa vikwazo dhidi ya Urusi vikiendelea kuongezeka, mataifa mbalimbali yanaonesha dhamira ya kuisaidia Ukraine…
Trump, Netanyahu wakutana tena kumaliza vita ya Gaza
Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wamekutana kwa mara ya pili katika muda wa saa 24 huku rais huyo akizidisha shinikizo kwa Netanyahu kumaliza vita huko Gaza. Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri…





