JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

UN kujadili hali ilivyo DRC

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inasema kikao cha pili cha Baraza la Usalama la ()UN kitafanyika kujadili mgogoro unaoendelea katika mkoa wake wa mashariki. Mkutano mpya ulioitishwa na viongozi wa Kongo unafuatia mapigano ya kundi la waasi la M23 huko…

Mpaka wa Kongo-Rwanda wafungwa baada ya M23 kuiteka Goma

Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo. Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu mgogoro unaokaribia kutokea. Mpaka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

Ukraine yaishambulia Urusi kwa droni 121

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema usiku wa kuamkia Ijumaa imefanikiwa kudhibiti mashumbulizi ya droni za Ukraine ambapo imezidungua na kuziteketeza droni 121 ambazo zilikusudiwa kuilenga mikoa 13, ikiwemo Moscow. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema usiku wa kuamkia Ijumaa…

SADC yalaani mauaji ya vikosi vyake yaliyotekelezwa na M23

Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) inalaani mauaji ya vikosi vyake yaliyotekelezwa na M23 mashariki mwa DRC, na kutaja mashambulizi hayo kama “kitendo cha uchokozi.” “Kutafuta upanuzi wa eneo kwa M23 kunafanya hali ya kibinadamu na usalama kuwa…

Maelfu watakiwa kuhama baada ya moto mpya kuzuka Marekani

Maelfu ya wakazi kusini mwa mji wa California wametakiwa kuondoka baada ya kuzuka moto mpya wa nyikani, kaskazini mwa Los Angeles, na kusambaa takriban kilomita za mraba 41 katika muda mfupi. Moto huo uliopewa jina la Hughes Fire, unawaka karibu…

Marekani yaahidi kuunga mkono Serikali ya Israel

Waziri  wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ameendelea kuthibitisha uungaji mkono thabiti kwa Israel, siku chache baada ya kusitishwa kwa mapigano katika Ukanda wa Gaza. Rubio alizungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na kumuhakikishia kwamba Marekani itaendelea kuiunga…