JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Viongozi mbalimbali duniani wampongeza Trump

Viongozi mbalimbali duniani wamempongeza mgombea wa Chama cha Republican, Donald Trump alipotangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa Rais wa Marekani. Miongoni mwa  viongozi waliompongeza Donald Trump ni Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ambaye  amesema ataendelea kushirikiana na Marekani kwa ukaribu,…

Mkuu wa Jeshi Nigeria afariki

Mkuu wa Jeshi la Nigeria Jenerali Taoreed Lagbaja amefariki dunia baada ya kuugua akiwa na umri wa miaka 56. Akitangaza  kuhusu taarifa ya kifo cha Mkuu wa Jeshi la Nigeria, Jenerali Taoreed  Lagbaja,Rais wa Nigeria Bola Tinubu amesema  Jenerali Taoreed Lagbaja …

Trump ashinda uchaguzi Marekani

Mgombea wa Chama cha Republican nchini Marekani,Donald Trump ametangazwa kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani na kuahidi kuliponya taifa hilo. Matokeo ya uchaguzi yamemuweka mgombea huyo wa Republican kifua mbele dhidi ya  mgombea wa Demokratic Kamala Harris . Akiwahutubia wafuasi…

Marekani imefuta deni dola bilioni 1 Somalia

Serikali ya Marekani imeamua kufuta deni la zaidi ya dola bilioni 1 ambazo zinadaiwa kwa serikali ya Somalia. Makubaliano ya kufuta deni hilo yalisainiwa kati ya Waziri wa Fedha wa Somalia Bihi Egeh na Balozi wa Marekani nchini Somalia Richard…

Trup ajitangaza mwenyewe kuwa mshindi kiti cha urais Marekani

Wakati zoezi la kupiga kura za Urais nchini Marekani, Mgombea Donald Trump wa chama cha Republican amejitangaza mwenyewe kama mshindi, kufuatia matokeo yanayoonesha kuwa kuwa yuko mbele kumzidi mpinzani wake Kamala Harris. Trump ametangaza kushinda tena Urais wa Taifa hilo…

Wanamgambo wa RSF wazingira mji wa Al-Hilaliya, jimbo la Al-Jazirah Sudan

Wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) wanaendelea na unyanyasaji wao mashariki mwa jimbo la al-Jazirah, ambapo wanashambulia raia. Katika Jimbo hili, unyanyasaji umeenea kwa kiwango kikubwa sana. Kwa mfano, katika mji wa Al-Hilaliya, kilomita 70 kutoka Wad Madani,…