Category: Kimataifa
Aliyetembea na wanawake 400 achukuliwa hatua
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue ametangaza kuwa Serikali itaanza kusimika kamera za ulinzi katika ofisi zote za umma, ikiwa ni hatua ya kuhakikisha utekelezaji wa sheria na kudhibiti mienendo isiyo na maadili na ya kinyume na…
Rais wa mpito wa Chad atishia kuiondoa nchi hiyo kwenye kikosi cha kimataifa cha ulinzi
Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Idriss Deby, ametishia kuiondoa nchi hiyo ya Afrika ya Kati kutoka kwenye kikosi cha kimataifa cha ulinzi, ambacho alisema kimeshindwa katika jukumu lake la kukabiliana na makundi ya waasi katika eneo la Ziwa Chad….
Gwiji Mike Tyson kurejea ulingoni baada ya miaka 19
Na Isri Mohamed Ikiwa ni miaka takribani 19 na miezi mitano imepita tangu Gwiji wa masumbwi duniani, Mike Tyson (58), atangaze kustaafu ngumi za ushindani, hatimaye ametangaza kurejea katika ngumi za kulipwa na anatarajia kupanda tena ulingoni Novemba 15, 2024…
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 34 kujeruhiwa baada ya radi kupiga kanisa Uganda
Watu 14 waliuawa na wengine 34 kujeruhiwa baada ya radi kupiga kanisa katika wilaya ya kaskazini mwa Uganda ya Lamwo Jumamosi, Polisi walisema. Kanisa hilo liko katika kambi ya wakimbizi ya Palabek, Citizen imeripoti. Msemaji wa Polisi wa Uganda Kituuma…
Mamadi Doumbouya ajipandisha cheo na kuwa Jenerali wa Jeshi Guinea
Rais wa mpito wa Guinea, Mamadi Doumbouya, amejiweka katika hadhi ya juu ya kijeshi kwa kujipandisha cheo kuwa jenerali. Hii ni mara ya pili mwaka huu kwa kiongozi huyo wa utawala wa kijeshi wa CNRD, mwenye umri wa miaka 43,…
Mauaji ya waandishi yameongezeka duniani kwa asilimia 38, ripoti ya UN yaonyesha
Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Utamaduni (UNESCO) imethibitisha kuongezeka kwa mauaji ya waandishi wa habari duniani kwa asilimia 38 katika kipindi cha miaka miwili (2022-2023) ikilinganishwa na miaka miwili kabla yake. Waandishi 162 wameuawa wakiwa kazini,…