JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Marekani kuipa Ukraine msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.7

Marekani itatuma msaada wa kijeshi wenye thamani ya dola bilioni 1.7 kwenda Ukraine. Msaada huo unajumuisha makombora ya mifumo ya ulinzi, risasi, mabomu na aina nyingine ya vilipuzi vya kushambulia vifaru na meli za kivita. Hayo yalielezwa na maafisa wa…

Maelefu waandamana Venezuela kupinga ushindi wa Rais Maduro

Vikosi vya usalama nchini Venezuela vimerusha mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira dhidi ya raia waliokuwa wameandamana kwa sababu ya matokeo ya uchaguzi wa Jumapili yenye utata. Maelfu ya watu walikusanyika katikati mwa Caracas Jumatatu jioni, wengine wakitembea…

Kim ashiriki uokozi waathirika wa mafuriko

 Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ameshiriki misheni ya kuokoa zaidi ya watu 5,000 waliokumbwa na mafuriko kaskazini-magharibi mwa Korea Kaskazini, vyombo vya habari vya serikali viliripoti Jumatatu. Mvua kubwa iliyonyesha Jumamosi ilisababisha mto kwenye mpaka wa Korea Kaskazini…

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma afukuzwa ANC

Vyombo kadhaa vya habari nchini Afrika kusini vimeripoti kwamba,kamati ya nidhamu ya chama tawala cha African National Congress ANC imepitisha maamuzi ya kumtimua chamani aliyekuwa rais wa taifa hilo Jacob Zuma. Inaelezwa kwamba hatua hiyo imetokana na Zuma kukiongoza chama…

Ukraine yaendelea kuyalenga maeneo ya Urusi

Ukraine imerusha zaidi ya droni 24 kuulenga mkoa wa Urusi wa Kursk ikiwa ni sehemu ya kampeni yake ya kijeshi iliyoanza siku ya Jumamosi usiku ambayo imefanikiwa kuharibu bohari ya mafuta. Hayo yamesemwa na kaimu gavana wa mkoa huo unaopakana…

UN yaonya kuwa binadamu wanaathrika na janga la joto kali

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ameonya, binadamu wanakumbwa na janga la joto kali na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua za kupunguza athari za mawimbi ya joto yanayozidishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Guterres amesema kuwa mabilioni…