Category: Kimataifa
Wafungwa na walinzi wauawa katika Gereza la Mogadishu
Wafungwa watano na walinzi watatu wameuawa katika majibizano ya risasi wakati wa jaribio la kutaka kutoroka katika gereza kuu katika mji mkuu Mogadishu. Wafungwa hao wanadaiwa kuwa ni wanachama wa Al-Shabaab. Wafungwa watano wanaosemekana kuwa ni wanachama wa kundi wa…
Watu 71 wauawa baada ya shambulizi la Israel, Gaza
Kiongozi wa tawi la kijeshi la Hamas huko Gaza Mohammed Deif anaaminika kuwa miongoni mwa wahanga wa shambulizi la anga la Israel ambalo mamlaka ya afya inayoendeshwa na Hamas huko Gaza Kiongozi wa tawi la kijeshi la Hamas huko Gaza…
Urusi: Kupeleka silaha Ujerumani kutachochea vita Baridi
Urusi imekosoa mpango wa Marekani wa kupeleka makombora ya masafa marefu nchini Ujerumani ikisema hatua hiyo inawarejesha kwenye zama za Vita Baridi. Msemaji wa Ikulu ya Kremlin, Dmitry Peskov ameishutumu Ujerumani, Marekani, Ufaransa na Uingereza kwa kujiingiiza moja kwa moja…
WHO: Homa ya nyani bado ni tishio la kiafya ulimwenguni
Shirika la Afya ulimwenguni, WHO limetahadharisha kwamba maradhi ya homa ya nyani bado ni kitisho cha kiafya kote ulimwenguni bila kujali mipaka. huku likielezea wasiwasi wake kwa kuangazia hasa mlipuko wa aina mpya na mbaya zaidi ya virusi vya homa…
Rais Ruto avunja Baraza lake la mawaziri
Rais wa Kenya William Ruto, amelivunja baraza lake la mawaziri na kumfuta kazi mwanasheria mkuu wa serikali, ikiwa ni sehemu ya hatua anazochukua kufuatia maandamano makubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z. Akihutubia taifa kupitia televisheni nje ya Ikulu…
Jela miaka sita kwa kumtukana rais wa Uganda
Mahakama nchini Uganda imemhukumu kijana wa miaka 24 kifungo cha miaka sita jela kwa kumtusi rais na familia yake kupitia video yake iliyowekwa kwenye TikTok. Edward Awebwa alishtakiwa kwa matamshi ya chuki na kueneza taarifa “za kupotosha na zenye nia…