Category: Kimataifa
Marekani imefuta deni dola bilioni 1 Somalia
Serikali ya Marekani imeamua kufuta deni la zaidi ya dola bilioni 1 ambazo zinadaiwa kwa serikali ya Somalia. Makubaliano ya kufuta deni hilo yalisainiwa kati ya Waziri wa Fedha wa Somalia Bihi Egeh na Balozi wa Marekani nchini Somalia Richard…
Trup ajitangaza mwenyewe kuwa mshindi kiti cha urais Marekani
Wakati zoezi la kupiga kura za Urais nchini Marekani, Mgombea Donald Trump wa chama cha Republican amejitangaza mwenyewe kama mshindi, kufuatia matokeo yanayoonesha kuwa kuwa yuko mbele kumzidi mpinzani wake Kamala Harris. Trump ametangaza kushinda tena Urais wa Taifa hilo…
Wanamgambo wa RSF wazingira mji wa Al-Hilaliya, jimbo la Al-Jazirah Sudan
Wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) wanaendelea na unyanyasaji wao mashariki mwa jimbo la al-Jazirah, ambapo wanashambulia raia. Katika Jimbo hili, unyanyasaji umeenea kwa kiwango kikubwa sana. Kwa mfano, katika mji wa Al-Hilaliya, kilomita 70 kutoka Wad Madani,…
Aliyetembea na wanawake 400 achukuliwa hatua
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue ametangaza kuwa Serikali itaanza kusimika kamera za ulinzi katika ofisi zote za umma, ikiwa ni hatua ya kuhakikisha utekelezaji wa sheria na kudhibiti mienendo isiyo na maadili na ya kinyume na…
Rais wa mpito wa Chad atishia kuiondoa nchi hiyo kwenye kikosi cha kimataifa cha ulinzi
Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Idriss Deby, ametishia kuiondoa nchi hiyo ya Afrika ya Kati kutoka kwenye kikosi cha kimataifa cha ulinzi, ambacho alisema kimeshindwa katika jukumu lake la kukabiliana na makundi ya waasi katika eneo la Ziwa Chad….
Gwiji Mike Tyson kurejea ulingoni baada ya miaka 19
Na Isri Mohamed Ikiwa ni miaka takribani 19 na miezi mitano imepita tangu Gwiji wa masumbwi duniani, Mike Tyson (58), atangaze kustaafu ngumi za ushindani, hatimaye ametangaza kurejea katika ngumi za kulipwa na anatarajia kupanda tena ulingoni Novemba 15, 2024…





