JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Putin: Urusi itatumia kombora jipya katika vita

Urusi ina akiba ya makombora mapya yenye nguvu “tayari kutumika”, Rais Vladimir Putin amesema, siku moja baada ya nchi yake kurusha kombora jipya la masafa marefu katika mji wa Dnipro nchini Ukraine. Katika hotuba aliyoitoa katika runinga ambayo haijaratibiwa, kiongozi…

Biden: Hatua ya ICC dhidi ya maafisa wa Israel ni ‘ya kuchukiza’

Rais wa Marekani Joe Biden ameghadhabishwa na hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhali wa Jinai, ICC- iliyotoa hati ya kumkamata Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, kuhusiana na mashtaka ya uhalifu wa kvita huko Gaza. Marekani si mwanachama lakini…

Kenya yafuta ushirikiano na Kampuni ya India ya Adani Group

Rais wa Kenya, William Ruto, ametangaza kufuta mikataba ya ubia kati ya serikali na kampuni ya India ya Adani Group, ikiwemo ule wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) na mamlaka ya umeme. Rais Ruto alitaja madai…

Urusi yaipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta

Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza….

Netanyau aikosoa ICC kutoa warranty ya kukamatwa

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelaani uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita na Uhalifu (ICC) wa kutoa waranti ya kukamatwa kwake akisema ni “chuki” dhidi yake na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant. Alisema ICC inawashtumu…

Rais Ruto atoa hotuba bungeni kuhusu mustakabali wa taifa

Hotuba ya leo inakuja wakati huu serikali yake ikiendelea kutuhumiwa kutokana na visa utekaji wa watu, ufisadi na sera za kiuchumi ambazo zimepingwa. Wiki hii kulikuwa na wito wa kufanyika maandamano kupinga hotuba ya rais Ruto. Licha ya wito huo…