Category: Kimataifa
Mchezaji Shawky afariki uwanjani
Na Isri Mohamed Mchezaji wa klabu ya Kafr El Sheikh SC inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Misri, Mohamed Shawky amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla uwanjani wakiwa kwenye mechi ya ligi dhidi ya Kazazeen iliyochezwa Novemba 14, 2024. Madaktari…
Waziri Mkuu Mali afutwa kazi kwa kuukosoa utawala wa kijeshi
Mkuu wa kijeshi wa Mali Kanali Assimi Goita amemfuta kazi Waziri Mkuu wa kiraia Choguel Kokalla Maiga na serikali yake. Hii ni siku chache tu baada ya Maiga kufanya ukosoaji wa nadra wa watawala wa kijeshi. Amri iliyotolewa na Kanali…
Ukraine yaishambulia Urusi na makombora ya Uingereza
Ukraine imeripotiwa kurusha kwenye maeneo ya ndani ya Urusi makombora ya masafa marefu aina ya Storm Shadow yaliyotengenezwa na Uingereza. Hii ni licha ya Urusi kuendelea kuonya dhidi ya hatua ya aina hiyo. Msemaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza Keir…
Zelensky : Ukraine itapoteza vita ikiwa Marekani itapunguza ufadhili
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliiambia Fox News siku ya Jumanne kwamba Ukraine itapoteza vita ikiwa Washington, mfadhili wake mkuu wa kijeshi, ataondoa ufadhili. Kiongozi huyo wa Ukraine alisema itakuwa “hatari sana iwapo tutapoteza umoja barani Ulaya, na lililo muhimu…
Tuhuma nyingine mpya dhidi ya P Diddy zazidi kumiminika
Mwanamuziki wa Hip-hop, Sean “Diddy” Combs kwa sasa yuko chini ya ulinzi wa Serikali akisubiri kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za utapeli na utumwa wa ngono. Kukamatwa kwake huko New York kulikuja huku kukiwa na msururu wa tuhuma za unyanyasaji wa…
Urusi inasonga mbele kwa kasi nchini Ukraine
Jeshi la Urusi linasonga mbele kwa mafanikio makubwa, katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine, kwa mujibu wa utafiti. Taarifa kutoka Taasisi ya Utafiti wa Vita (ISW) inaonyesha, kwa mwaka 2024 Urusi imenyakua karibu mara sita ya maeneo iliyonyakua…





