Category: Kimataifa
Afrika Mashariki kukumbwa na ukame
Kituo cha Utabiri wa Hali ya Hewa cha Nchi za Jumuiya ya IGAD, kinasema kuwa eneo la Afrika Mashariki litapata hali ya ukame kuliko kawaida kati mwezi wa Januari na Machi 2025. Katika utabiri wake uliotolewa Jumatatu, kinasema Ethiopia, Uganda,…
Urusi yatungua ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine
Wizara ya Ulinzi ya Urusi inadai kuwa ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine zilidunguliwa katika maeneo sita ya Urusi usiku kucha, ikiwa ni pamoja na yale yaliyo mbali na mipaka ya Ukraine. Ujumbe mfupi kutoka kwenye mitandao ya kijamii…
Zimbabwe yafuta adhabu ya kifo
Mkuu wa Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa Volker Turk, amekaribisha uamuzi wa Zimbabwe wa kufuta hukumu ya kifo na kutoa wito kwa nchi nyingine kuchukua hatua kama hiyo. Mapema wiki hii, Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa…
Mashambulizi ya Israel yawaua watu 26 wakiwemo Polisi Gaza
Mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua watu wasiopungua 26 katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo maafisa wawili wa ngazi ya juu katika jeshi la polisi linaloongozwa na Hamas. Mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua watu wasiopungua 26 katika Ukanda wa Gaza,…
Uganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta
Uganda inatarajiwa kuzindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza mwezi Julai. Uganda inatarajiwa kuzindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza mwezi Julai….
Waasi wa ADF wawaua watu 12 mashariki mwa Kongo
WATU wasiopungua 12 wameauwa katika mashambulizi mapya ya waasi wa kundi la ADF lenye mafungamno na kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS. Watu wasiopungua 12 wameauwa katika mashambulizi mapya ya waasi wa kundi la ADF lenye mafungamno na kundi linalojiita…





