Category: Kimataifa
Wasafirishaji binadamu wakamatwa
Polisi nchini Ujerumani imefanya msako katika majengo kadhaa kusini magharibi mwa nchi hiyo ili kuwakamata watu wanaojihusisha na usafirishaji haramu wa binadamu . Jeshi la Polisi nchini humo tayari limeshapokea hati nne za kuwakamata na msako huo utaendelea kufanyika katika…
P Didy aomba kuzungumza na watoto wake
Na Isri Mohamed Wakati akisubiri kusikiliza kesi yake katika kituo cha Metropolitan Detention Center cha Brooklyn, New York City, Rapa Sean Didy Combs maarufu kama P Didy, ameomba kuzungumza na watoto wake kwa njia ya simu ili kujua hali zao….
Shambulizi la Urusi nchini Ukraine lakatiza huduma za umeme
Shambulizi la usiku kucha la Urusi katika eneo la kati mwa Ukraine, Poltava limeharibu miundo mbinu ya nishati na kukata umeme kwenye makazi 20. Haya yamesemwa leo na mamlaka katika eneo hilo. Shambulizi la usiku kucha la Urusi katika eneo…
Meli ya kivita ya Misri yapeleka silaha Somalia
Waziri wa mambo ya nje wa Ethiopia amesema ana wasiwasi kwamba silaha zilizopelekwa nchini Somalia huenda zikaishia mikononi mwa magaidi. Haya yameripotiwa leo na shirika la habari la serikali ya Ethiopia siku moja baada ya meli ya kivita ya Misri…
Mashambulizi Israel yaua watu 490
Israel imezidisha vita vyake dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon Septemba 23, huku vita hiyo ikiua takriban watu 490 na kujeruhi wengine zaidi ya 1,650 katika mashambulizi makubwa ya anga ambayo yamezua wasiwasi wa kutokea vita vikali. Jeshi la…
Zaidi ya watu 70,000 waliojitolea kuipigania Urusi wafa Ukraine
Zaidi ya watu 70,000 wanaopigana katika jeshi la Urusi sasa wamefariki nchini Ukraine, kulingana na data iliyochambuliwa na BBC. Na kwa mara ya kwanza, watu wa kujitolea raia ambao walijiunga na vikosi vya jeshi baada ya kuanza kwa vita, sasa…