Category: Kimataifa
Onyo la Washngton kwa Israel latajwa kuwa na uzito tangu kuzuka kwa mapigano
Onyo la Washington limetajwa kuwa lenye uzito zaidi tangu kuzuka kwa mapigano kati ya Israeli na wapiganaji wa Hamas mwaka uliopita. Aidha onyo hilo pia limejiri baada ya Umoja wa Mataifa kufanya tathimini wikendi iliopita na kubaini kwamba hakuna misaada…
Ukame wazidi Kusini mwa Afrika
SHIRIKA la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limewatahadharisha mamilioni ya watu wanaoishi katika ukanda wa Kusini mwa Afrika kujihadhari na ukame unaoweza kusababisha maafa makubwa ya kibinadamu. Nchi ambazo zimetajwa katika ripoti hiyo ni pamoja na Lesotho, Malawi, Namibia, Zambia,…
Korea Kaskazini yalipua barabara kwenda Kusini
Korea Kaskazini leo imelipua sehemu ya barabara zisizotumika ambazo awali ziliunganisha kwenda Korea Kusini huku mataifa hayo pinzani yakitishiana siku chache baada ya Kaskazini kudai mpinzani huyo alirusha ndege zisizokuwa na rubani katika anga la mji mkuu wake, Pyongyang. Kiongozi…
Nigeria watelekezwa airport, wagoma kucheza dhidi ya Libya
Na Isri Mohamed Katika hali ya kushangaza timu ya taifa ya Nigeria imeamua kurejea nchini kwao bila kucheza mchezo wao wa kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Libya, baada ya kufanyiwa vitendo ambavyo wamevitafsiri ni hujuma kutoka kwa wenyeji wao Libya….
Korea kaskazini iko tayari kuishambulia Korea Kusini
Korea Kaskazini imesema Jumapili kuwa vikosi vyake vya kijeshi viko tayari kuanzisha mashambulizi dhidi ya Korea Kusini, hatua ambayo imeongeza shinikizo kwa taifa hilo pinzani. Korea Kusini imekataa kuthibitisha iwapo ilituma droni hizo lakini ikaonya kuwa itaiadhibu vikali Korea Kaskazini…
Urusi yadaiwa kuwauwa wafungwa wa kivita wa Ukraine
Waziri wa mambo ya nje wa Ukraine Andrii Sybiha ametoa wito wa msaada kutoka kwa jamii ya kimataifa kufuatia ripoti za madai kwamba wanajeshi wa Urusi wanawapiga risasi wafungwa wa kivita wa Ukraine. Katika ujumbe kupitia mtandao wa kijamii wa…





