JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Wizara ya Madini kushiriki Jukwaa la Biashara Uingereza

Na Mwandishi Wetu, London Timu ya Wataalam wa Wizara ya Madini ikiongozwa na Katibu Mkuu Kheri Mahimbali inashiriki katika Jukwaa Maalum la Biashara kati ya nchi ya Tanzania na Uingereza. Wataalam wa Wizara ni sehemu ya ujumbe maalum wa Serikali…

Rais wa Urusi awasili China kujadili vita ya Israel

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amewasili China kukutana na rafiki yake Rais Xi Jinping katika kuimarisha uhusiano wao na kujadili zaidi vita vya Israel na kundi la Palestina la Hamas, mtandao wa India Today umeeleza. China wiki hii inakaribisha wawakilishi…

Hali ya kibinadamu Gaza mbaya, Israel kuanza mashambulizi ya ardhini

Gaza sasa ikiwa imezingirwa kikamilifu na wanajeshi wa Israel na baada ya siku tano za mashambulizi ya mabomu, hali ya kibinadamu inazidi kuwa mbaya. Umeme ulikatika leo baada ya kituo pekee cha umeme katika eneo hilo kukosa mafuta. Hospitali, ambazo…

Tanzania yafanikiwa kudhibiti ukeketaji mipakani

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza katika mdahalo ulioshirikisha Mawaziri wa Jinsia kutoka nchi za wanachama wa umoja wa Afrika wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa kutokomeza Ukeketaji Oktoba 10, 2023…

Tanzania yaiahidi Uganda kuendeleza ushirikiano miradi ya kimkakati

#Dkt. Biteko awasilisha salamu za Rais Samia miaka 61 ya Uhuru wa Uganda Na Neema Mbuja, JamhuriMedia, Kampala Serikali ya Tanzania imeahidi kuendeleza Ushirikiano, Umoja na Mshikamano na nchi ya Uganda kwa manufaa ya nchi zote mbili. Hayo yameelezwa na…