Category: Kimataifa
Netanyahu alivunja Baraza lake la Vita
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelivunja Baraza lake la Vita ambalo husimamia operesheni za kijeshi huko Gaza. Mapigano yanaendelea pia kuripotiwa katika ardhi ya Palestina huku idadi ya vifo pia ikiongezeka. Taarifa ya kuvunjwa kwa baraza hilo la vita…
Rais Tinubu wa Nigeria aanguka katika hafla ya kitaifa
Rais, 72, alianguka alipokuwa akipanda ngazi kwenye gari ambalo lilipaswa kumpeleka karibu na Bustani ya Eagle Square katika mji mkuu, Abuja. Ilibidi asaidiwe kusimama. Mmoja wa wasaidizi wake alielezea kama “hatua mbaya” na akasema rais ameweza kuendelea na programu iliyobaki….
Malawi yatangaza siku 21 za maombolezo kifo cha Makamu wa Rais
Malawi imetangaza siku 21 za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Rais wa nchi hiyo Saulos Chilima na watu wengine nane kilichosababishwa na ajali ya ndege. Siku ya Jumatatu, Chilima na ujumbe wake walikuwa safarini kuelekea kaskazini mwa nchi hiyo…
Breaking News: Makamu wa Rais wa Malawi afariki Dunia
Na Isri Mohamed Mwili wa Makamu wa Rais wa Malawi, Saulos Chilima na watu wengine tisa imepatikana baada ya vikosi vilivyokuwa vikiitafuta ndege iliyowabeba kufanikiwa kupata ndege hiyo huku wakiwa wamefariki. Baada ya kuthibitishwa kwa taarifa hiyo, Rais wa Malawi,…
UNICEF: Karibu watoto milioni 400 wananyanyasika majumbani
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limesema makadirio ya watoto milioni 400 walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na manyanyaso majumbani. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limesema makadirio ya watoto milioni…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa launga mpango wa Marekani kusitisha vita kati ya Israel, Gaza
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kuunga mkono mpango unaopendekezwa na Marekani wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Gaza. Pendekezo hilo limeweka masharti ya “kusitisha mapigano kamili “, kuachiliwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas, kurejeshwa kwa…