Category: MCHANGANYIKO
Wakuu wa vyuo, waratibu watakiwa kuzingatia mwongozo ili kutokomeza vitendo vya ukatili vyuoni
Na WMJJWM – Tabora Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka Waratibu madawati ya Jinsia katika Vyuo Vikuu na vya Kati kuzingatia Mwongozo wa uanzishwaji, uendeshaji na ufuatiliaji wa…
Mndolwa amtaka mkandarasi kuzingatia viwango mradi wa Kasoli Simiyu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kushtukiza na kukagua mradi wa Umwagiliaji mkoani Simiyu ukiwemo mradi wa ujenzi wa bwawa la Umwagiliaji na skimu ya Kasoli, iliyopo Kata ya…
Bunge lapitisha bajeti ya trilioni 20.19 ya Wizara ya Fedha
Na Saidina Msangi, JamhuriMedia, Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025-2026 ya kiasi cha Sh. trilioni 20.19 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo kwa…
TFS yatunukiwa tuzo ya Kampeni Bora ya Upandaji miti nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetunukiwa Tuzo ya Kampeni Bora ya Upandaji Miti kwa mwaka 2025, kutokana na mchango wake mkubwa katika kuhamasisha wananchi na taasisi mbalimbali kushiriki upandaji miti, kusambaza miche na…
Dk Biteko aweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo kikubwa cha gesi Afrika Mashariki
📌 Tanga kuwa Kitovu cha Nishati nchini 📌 Dkt. Biteko Asisitiza Ajira Kwa Wazawa 📌Kampeni ya Rais Samia ya Nishati Safi ya Kupikia Yavutia Wawekezaji 📌Matumizi ya Gesi ya Kupikia Yaongezeka Kila Mwaka Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na…