Category: MCHANGANYIKO
Miradi ya buluu Kaboni kunufaisha jamii ukanda wa Pwani
Serikali imesema utekelezaji wa miradi ya biashara ya kaboni hasa kaboni ya buluu utakapokamilika na mauzo kufanyika, itanufaisha jamii inayozunguka maeneo mengi ya Ukanda wa Pwani. Hayo yamesemwa bungeni jijini Dodoma leo Juni 16, 2026 na Naibu Waziri Ofisi ya…
Netanyahu: Uwezo wa nyuklia wa Iran umerudishwa nyuma
Netanyahu ameongeza kwamba bila ya operesheni kubwa za kijeshi zilizofanywa kwa pamoja na Marekani basi huenda Iran ingekuwa tayari inayo mabomu ya nyuklia na mamilioni ya Waisrael sasa wangekabiliwa na vitisho. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kampeni ya…
CTI yafurahia mapendekezo 51 kuchukuliwa na Serikali Bajeti Kuu
Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI), limepongeza Bajeti Kuu ya mwaka 2026/2027 ikisema kuwa kama itatekelezwa vizuri itasaidia kulinda na kustawisha viwanda vya ndani . Shirikisho hilo limesema serikali imechukua asilimia 50 ya mapendekezo ya wenye viwanda…
PSSSF yawaasa wabunge kuwa mabalozi wa bidhaa za ngozi za ndani kukuza viwanda, ajira
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)Fortunatus Makore Magambo, amewataka Wabunge nchini kuwa mabalozi wa bidhaa za ngozi zinazozalishwa Tanzania kwa kuzitumia na kuzitangaza, ili kuchochea ukuaji wa viwanda…
Kiwanda kikubwa cha kuzalisha bidhaa za chuma kujengwa Nala, jijiji Dodoma
▪️Ni uwekezaji wa zaidi ya Tsh Bilioni 600 ▪️Malighafi ya madini chuma kutumika kama bidhaa kuu ▪️Ajira 1500 kuzalishwa, huku ujenzi ukikamilika ndani ya miezi 15 kuanzia Julai, 2026 ▪️Rais Samia apongezwa kwa mazingira rafiki ya Uwekezaji ▪️Waziri Mavunde apongeza…
Serikali yaendelea na mkakati wa Sinza kuwa kitovu cha makazi ya kisasa
Na Mwandishi Wetu SERIKALI imeendelea kusisitiza ushirikishwaji wa wananchi na wamiliki wa ardhi katika utekelezaji wa Mpango wa Uendelezaji Upya wa Eneo la Sinza jijini Dar es Salaam, unaotarajiwa kutekelezwa kwa kipindi cha miaka 20 kuanzia mwaka 2026 hadi 2046….





