JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

MSD yakutana na wawekezaji wa kampuni 15 na wafanyabiashara katika sekta ya dawa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bohari ya Dawa (MSD) Imekutana na wawekezaji, wawakilishi wa makampuni 15 na wafanyabiashara katika sekta ya Dawa na vifaa tiba kwenye ofisi zake zilizopo mkoani Daresalaam. Wafanyabiashara hao wamefurahi kufika MSD na kupata…

Maendeleo yanaonekana Mara, kaya 60,000 zanufaika na ruzuku

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Zaidi ya shilingi bilioni 80 zimetumika kutekeleza miradi ya maendeleo ya kijamii katika Mkoa wa Mara katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe….

Tanzania kuwa na mashirika ya umma yenye ushindani ifikapo 2050

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma IFIKAPO mwaka 2050, Tanzania inajiona kuwa na Mashirika ya umma ya kibiashara yanayoendeshwa kwa uwazi na ushindani, yanayojitegemea na yenye kuleta faida, na yanayovutia uwekezaji huku yakishirikiana kikamilifu na sekta binafsi ili kukuza uchumi. Dhamira…

Kishapu wadai kuna udanganyifu CCM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wameandika barua kupinga kujumuishwa kwa jina la mmoja wa watia nia wa kugombea ubunge katika orodha iliyopelekwa Dodoma. Wakizungumza na JAMHURI Digital, makada…

Rais Samia atoa bil. 19.6/- ujenzi wa miradi ya elimu (Sequip) Njombe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe. Kati ya fedha hizo…

Dk Kimambo: Mipango na mikakati ya Muhimbili imefunganishwa na matarajio ya Dira ya Taifa 2050

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambayo pia ni Hospitali ya Ubingwa Bobezi nchini, Dkt. Delilah Kimambo amesema mipango na mikakati ya hospitali hiyo imefungamanishwa na matarajio ya Dira ya Taifa…