Category: MCHANGANYIKO
Balozi Hamad ajitambulisha kwa Balozi wa Uingereza nchininl Msumbiji
Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji alifanya ziara ya kujitambulisha kwa Balozi wa Uingereza nchini Msumbiji, Mhe Balozi Helen Lewis. Katika Mazungumzo yao, Viongozi hao walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizi…
Afrika yajipanga kwa mapinduzi ya habari kwa njia ya teknolojia ya kisasa na ujumuishaji
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha. Baraza la Huru la Habari Afrika (NIMCA) limepitisha maazimio yatakayobadilisha sura ya uandishi wa habari katika bara hilo. Katika kilele cha Mkutano huo baraza limeweka msingi wa mageuzi kupitia matumizi sahihi ya teknolojia ya akili…
FDH :Dira ya 2050 ni Tumaini jipya kwa wenye ulemavu
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi wa Shirika la Foundation for Disabilities and Hope (FDH), Michael Salali, amesema uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ni ushahidi thabiti kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kwa dhati kuwajumuisha watu wenye…