Category: MCHANGANYIKO
Samia aingia Pangani kusaka kura
Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari ameshawasili Pangani kwenye uwanja wa Gombelo mahali ambapo mkutano wa kampeni utafanyika na atawahutubia wana CCM na wananchi waliojitokeza kwa wingi ili kumsikiliza. Rais Dkt. Samia pia…
CCM imetuheshimisha wanawake, UWT tunatafuta kura za kishindo za Dk Samia – Chatanda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WENYEVITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amesema UWT inashukuru sana maamuzi yaliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya…
Dk Biteko awapa heko wachimbaji wa madini
Mchango wa wachimbaji wadogo wa madini waongezeka kutoka 20% mwaka 2020 hadi 40% mwaka 2024 Teknolojia za kisasa za uchenjuaji madini zatajwa kuwa na tija kuliko matumizi ya zebaki Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya maendeleo ya sekta…
Samia kujenga uwanja wa michezo Msoga
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema atajenga uwanja wa kisasa wa michezo katika eneo la Msoga wilayani Chalinze mkoani Pwani kama atashinda uchaguzi mkuu. Rais Samia ametoa kauli hiyo, leo Septemba 28, 2025 aliposimama kuzungumza…
Jitokezeni kwa wingi siku ya kupiga kura-Samia
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Pwani Mgombea urais wa ChamaCha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga Oktoba 29, mwaka huu kwa sababu kuna usalama upo wa wa kutosha. Amesema kutokana na mahudhurio mazuri ya…
Norway yaipongeza WorldVeg kwa utafiti, uhifadhi wa mbegu za asili Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Arusha Serikali ya Norway imeipongeza Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Uendelezaji wa Kilimo cha Mbogamboga – World Vegetable Centre (WorldVeg), Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, iliyopo Tengeru, mkoani Arusha kwa kazi kubwa ya utafiti…





