JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tanzania, Singapore, zaimarisha ushirikiano wa uendelezaji ujuzi na rasilimali watu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam wakishuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Singapore kuhusu Uendelezaji…

TRA kuadhimisha miaka 30, Rais kutoa tuzo kwa walipa kodi bora

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kuadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwake kwa hafla maalum itakayofanyika Julai 1, 2026, sambamba na utoaji wa Tuzo za Rais kwa Walipakodi Bora wa Mwaka wa Fedha 2024/2025. Akizungumza jijini Dodoma kwa niaba ya…

Ziara ya Rais Samia Urusi imethibitisha hatufungamani upande wowote -Wasira

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan inathibitisha dhamira CCM nchi kutofungamana na upande wowote. Amesema waasisi wa taifa wakiongozwa na Mwalimu Julius Nyerere, waliitaka Tanzania kuwa katikati…