JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Bandari za Tanzania zashuhudia ukuaji mkubwa wa mizigo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfumo wa bandari za Tanzania umeingia katika hatua mpya ya ukuaji wa biashara baada ya takwimu za hivi karibuni kuonesha ongezeko kubwa la Shehena za magari, makontena na mizigo ya kichele inayopitishwa bandarini….

Finland, Tanzania waongeza ushirikiano wa misitu kupitia jukwaa la biashara na uwekezaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ubalozi wa Finland nchini Tanzania, kwa ushirikiano na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania kupitia Mpango wa Ubunifu wa FUNGUO, wameadhimisha Siku ya Misitu ya Finland 2026 yenye kaulimbiu ya…

NBS: Matumizi ya nishati safi yaongezeka nchini

OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matumizi ya nishati safi kwa ajili ya kupikia nchini yameongezeka kutoka asilimia 2.7 kabla ya Aprili 2022 hadi zaidi ya asilimia 16 ya kaya hivi sasa , hatua inayotafsiriwa kuwa mafanikio ya juhudi…

Hawa ndio wabunge wa kuigwa

Bunge ni muhimili muhimu katika kuhakikisha maslai na mahitaji ya wana nchi yana shughurikiwa na serikali. Serikali ina mihimili mitatu yaani bunge,mahakama na serikali kuu. na kila muhimili una mamlaka na majukumu yake kwa mujibu wa sheria,miongozo, na sera za…

Rais wa Singapore awasili nchini kwa ziara ya kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Singapore Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam, amewasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa ya siku tatu, Juni 8-10, 2026. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam akiwa ameambatana na Mwenza…

Wasira abeba kilio cha wana Same kuhusu maji

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Same (SAUWASA) kuhakikisha inatatua kwa haraka changamoto ya upatikanaji maji inayowakabili wananchi wa mji wa Same. Wasira alitoa agizo hilo leo…