Category: MCHANGANYIKO
Bashe akutana na Waziri wa Kilimo wa Uganda
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo, Viwanda vya Nyama na Uvuvi kutoka Uganda, Kyakulaga Fred Bwino pamoja na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Fred Mwesigye, leo Mei 27 jijini Dodoma. Katika Mazungumzo hayo…
Trump: Putin anacheza na moto
Rais wa Marekani Donald Trump alisema ameiokoa Urusi kutokana na “mambo mengi mabaya sana.” “Vladimir Putin hatambui kwamba ikiwa sio mimi, mambo mengi mabaya yangekuwa yametokea Urusi kufikia sasa,” aliandika kwenye mtandao wa kijamii wa Truth Social, bila kutoa maelezo…
Ukraine yatuma droni 100 kuelekea Urusi
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi inaripotiwa kuzidunguwa zaidi ya droni 100 za Ukraine usiku wa kuamkia leo kwenye maeneo mbalimbali ya nchi hiyo, zikiwemo zile zilizoelekezwa kwenye mji mkuu, Moscow. Kwa mujibu wa maafisa wa Urusi, mashambulizi hayo…
Temeke yavunja rekodi ukusanyaji mapato zaidi ya bilioni 53/-
Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam MANISPAA ya Temeke imeshika nafasi ya kwanza kwa kukusanya mapato mengi zaidi ya shilingi bilioni 53 kabla Juni 31, mwaka huu wa fedha 2025/2026. Akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani Manispaa ya…
Wazalishaji wa bidhaa za mifuko ya plastiki kudhibitiwa
Na Jovina Massano, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kuwachukulia hatua watu na kampuni zinazoendelea kuzalisha bidhaa za mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kwa wanaoingiza na kuzalisha bidhaa za…
RC Kigoma azindua zoezi la ugawaji vyandarua vyenye dawa bure
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vyandarua vyenye dawa katika ngazi ya kata, mitaa, vijiji na kaya, mkoani humo, ambapo vyandarua zaidi ya milioni 1.7 vitagawiwa bure kwa…