JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tume ya uchunguzi yaongeza muda hadi Aprili 24, 2026

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MAMLAKA ya Uteuzi imeridhia maombi ya muda wa ziada kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 hivyo imeiongezea tena muda wa siku ishirini na moja…

Masauni ahimiza vijana kuenzi, kulinda na kutetea muungano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu nchini na vijana kuendelea kulinda na kutetea misingi ya…

Waziri Mkuu akagua madhara ya moto soko la Simu 2000

▪︎ Asema Serikali itatoa kauli baada ya uchunguzi ▪︎ Aagiza vibanda vipya vigawiwe kwa wafanyabiashara halisi Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza hatua za haraka kurejesha shughuli za biashara kufuatia ajali ya moto ulioteketeza Soko la Mawasiliano (Simu 2000) lililopo…