JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kafulila : Serikali inapunguza mzigo wa kifedha na kukamilisha mradi kwa wakati

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Ushirikiano kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema Kupitia ( Public -Private Partnership ) PPP, Serikali inapunguza mzigo wa kifedha na kiutendaji huku…

Dk Biteko akutana na Mtendaji Mkuu Puma Duniani

📌Tanzania na PUMA kuimarisha ushirikiano 📌PUMA kuendelea kuwekeza zaidi Tanzania Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni…

Lesotho wavutiwa na REA

📌Wampongeza Rais Samia katika suala la uhamasishaji wa nishati safi ya kupikia 📌Watoa mwaliko kwa wataalam wa REA kutembelea Lesotho kuwapatia uzoefu Serikali ya Lesotho imevutiwa na namna ambavyo Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijiji (REA) imepiga hatua…

Dar kinara makusanyo ya maduhuli

Soko la madini, madini ya ujenzi na viwandani yaibeba Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, baada…

Wizara ya Maendeleo ya Jamii yatangaza vipaumbele vitano vya mageuzi kwa 2025/2026

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Makundi Maalum imetaja vipaumbele vitano itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2025/2026, vikiwa na lengo la kuimarisha ustawi wa jamii, kukuza usawa wa kijinsia na kuleta maendeleo jumuishi kwa…

Wanafunzi waliopata mikopo waongezeka kwa asilimia 39.6, Serikali yatenga bilioni 787/-

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia l, Dodoma Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imetangaza kuongezeka kwa bajeti ya mikopo kwa vyuo vya elimu ya juu kutoka Shilingi bilioni 570 hadi bilioni 787 katika kipindi cha miaka minne,…