JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

CBE na SWUFE ya China wasaini ushirkiano wa kitaaluma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesaini makubaliano na Chuo Kikuu cha Fedha na Uchumi cha Kusini Magharibi mwa China (SWUFE) kuimarisha ubadilishanaji wa ujuzi, utafiti wa pamoja, na fursa za mafunzo kwa…

Majaliwa aitaka TRA kuendelea kuongeza ufanisi ukusanyaji kodi

*Awapongeza kuvuka lengo 2024- 2025 *TRA yarejesha Shilingi Trilioni 1.2 kwa walipa kodi kiwango kikubwa kuwahi kutokea. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuongeza usimamizi wa ukusanyaji wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwemo wa mataifa ya nje…

NIT yaanza kutoa mafunzo ya urubani, yawataka vijana kuchangamkia fursa

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeanza rasmi kutoa mafunzo ya urubani kwa vitendo kwa vijana wa Kitanzania, huku kikisisitiza kuwa kina vifaa vya kisasa na wataalamu waliobobea katika nyanja hiyo. Akizungumza katika…

Sagini: Huduma ya Msaada wa Kisheria kwa wananchi kupatiwa kipaumbele

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini, amesema kuwa huduma ya msaada wa kisheria ni muhimu kwa Watanzania na Wizara yake inafanya jitihada kuhakikisha huduma hiyo inakuwa endelevu kwa manufaa ya wananchi….

Balozi Shaibu ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus

Na Mwandishi Wetu Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashaririki Mhe. Balozi Shaib Mussa amempokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyrus Mhe. Constantinos Kombos, katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini…

Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki Kongamano kuhusu Kukuza Huduma za Afya Ulimwenguni kupitia Diplomasia lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi,…