JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mndolwa : Mziki wa Rais Samia bado unaendelea umwagiliaji

Mradi wa Membe Kunusuru SGR Dodoma: Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Raymond Mndolwa amesema kuwa kasi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bado inandelea katika miradi ya umwagiliaji na kwamba kila mkoa utafikiwa. Mndolwa amesema miradi…

Tanzania ni mshiriki wetu wa kweli spika Comoro

Spika wa Bunge la Comoro,Moustadroine Abdou amesifu ushirikiano mzuri wa Tanzania na Comoro.Spika Moustadrione ameyasema hayo katika hafla ya chakula cha jioni kuadhimisha miaka 61 ya Muungano iliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini humo. Spika Moustadrione amezungumzia pia uhusiano mzuri…

Gesi ya Helium yagundulika na kina cha Km 1.14 chini ya Ardhi

Utafiti wafanyika katika visima vinne *Utafiti umegundua gesi ya Helium yenye ubora wa mkusanyiko wa asilimia 7.9 na 5.5 *Zaidi ya ajira 100 zatolewa kwa jamii Momba, Songwe. Na Mwandishi Wetu, Songwe. IMEELEZWA kwamba utafiti wa gesi ya helium uliofanywa…

Majina waliopita usaili TRA hawa hapa

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya watu waliopita katika usaili wa kuandika na hivyo kuitwa kwa ajili ya kufanya usaili wa mazungumzo. https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf

Brigedia Feruzi : Jukumu la wazazi, walezi ni kujua mwenendo na tabia ya watoto wao

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Wazazi na walezi hapa nchini wametakiwa kuona umuhimu wa kuwasimamia kwa karibu Watoto wao wanaosoma katika shule za msingi na sekondari ili waweze kuepukana na tabia mbaya za utoro, uvutaji bangi na amewahimiza kujenga ushirikiano…

Waomba Jimbo Singida Kaskazini libadilishwe jina kuwa Jimbo la Ilongelo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Wadau wa Uchaguzi kutoma Halmashauri ya Wilaya ya Singida weithibitishia Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi juu ya nia yao ya kutaka kubadili jina la Jimbo la Singida Kaskazini kuwa Jimbo la Ilongelo. Mwenyekiti wa…