Category: MCHANGANYIKO
Akwilapo awabana makamishna wa ardhi, ataka waliotelekeza hatua zichukuliwe
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo (Mb), amewaagiza Makamishna wa Ardhi wa mikoa nchini kufanya ukaguzi wa maeneo ya ardhi yaliyotolewa kwa ajili ya uwekezaji, ili kubaini wawekezaji waliohodhi ardhi…
Msajili wa Hazina aitaka TANROADS kuongeza ufanisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, leo, Septemba 18, 2026, ametoa maagizo kwa uongozi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuhusu hatua za kuchukua ili kuongeza ufanisi na kuimarisha utendaji wa Wakala huo. Maagizo…
Makamu wa Rais azuru dampo la Pugu Kinyamwezi
-Atoa siku saba Kupatikana kwa Suluhisho la Mgogoro wa Udhibiti wa Taka Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, amefanya ziara katika Dampo la Pugu Kinyamwezi jijini Dar es Salaam, ambapo amekagua hali ya…
TMDA Yawaonya Wataalam wa afya Kibaha kuhusu dawa tiba zenye asili ya kulevya
Na Mwandishi Wetu, Kibaha. MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki, kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) na Bohari ya Dawa (MSD), imetoa mafunzo maalum kwa Waganga Wafawidhi, Wafamasia, Wauguzi…
Maandalizi ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 yafikia asilimia 80
*Rukwa wajipanga kufanikisha kwa kishindo *Dk Mapana asifu utayari Rukwa Na Innocent Byarugaba -ORMV, Rukwa Mkoa wa Rukwa umefikia asilimia 80 ya maandalizi ya kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kitakachokwenda sambamba na Kumbukizi ya Miaka 27 ya Kifo…
Waziri Masauni azindua na kukabidhi magari matano NEMC
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yusuf Masauni, amezindua na kukabidhi magari matano kwa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), hatua inayolenga kuimarisha…





