JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Polisi Pwani yabaini wanafunzi 573 waliacha shule, 114 warejeshwa kwa oparesheni maalum

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limebaini zaidi ya wanafunzi 500 wa shule za msingi na sekondari waliokuwa wameacha masomo kwa kipindi kirefu, huku likifanikiwa kuwarejesha shuleni wanafunzi 114 kupitia operesheni maalumu ya Polisi Jamii…

Wakulima, wafugaji, wavuvi wapongezwa kwa kuchangia utoshelevu wa chakula nchini

Na OWM – TAMISEMI, Morogoro Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mchango wao mkubwa uliowezesha Tanzania kufikia utoshelevu wa chakula wa…

CDICD yaongeza thamani ya black granite

🔸Uchakataji wa kisasa waongeza ushindani wa bidhaa za Tanzania katika soko la ndani na nje 🔸Uwekezaji wa kampuni wafungua ajira kwa vijana na kuchochea maendeleo ya viwanda 📍Dodoma Kampuni ya CDICD Group Limited imeendelea kuimarisha mnyororo wa thamani katika Sekta…

Taasisi 54 za Umma kuwasilisha taarifa za utendaji wa uwekezaji kwa kamati za Bunge

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Jumla ya taasisi za umma 54 zinatarajiwa kuwasilisha taarifa za utendaji wa uwekezaji mbele ya Kamati za Kudumu za Bunge kwa muda wa wiki tatu, katika mchakato unaolenga kuwezesha uchambuzi wa thamani na utendaji wa…

EACOP yatoa Dola za Kimarekani milioni 1.06 kuimarisha huduma za afya Tanga, Geita

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) limesaini Mikataba mitatu ya kufadhili uwekezaji wa Kijamii na Kiuchumi (SEI) yenye thamani ya zaidi ya Dola za kimarekani milioni 1.06 (takribani Shilingi bilioni 2.8 za…