Category: MCHANGANYIKO
Kafulila, aanza kutekeleza maagizo ya Rais Samia ya utekelezaji Dira ya Taifa 2050
Na Mwsndishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC), David Kafulila, ameanza kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukutana na waandishi wa habari wa mitandao ya…
Naibu Waziri Chande avutiwa na mafanikio ya TADB kwenye kilimo
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Chande, ametembelea banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma na kupongeza mchango wa benki hiyo katika kuchochea maendeleo ya sekta ya kilimo nchini….
Sangu: Serikali inatambua mchango wa wazee
Na OWM (KAM), Lindi Serikali imesema itaendelea kutambua na kuthamini mchango wa wazee katika kujenga jamii yenye amani, umoja na mshikamano wa kitaifa. Amesema hayo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano) Deus Sangu alipokutana na…
ADEM yaongoza mageuzi ya elimu, viongozi 31,000 wajengewa uwezo
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Zaidi ya viongozi 31,000 wa sekta ya elimu nchini wamejengewa uwezo kupitia mafunzo ya uongozi na usimamizi yanayotolewa na Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM), huku zaidi ya Sh. bilioni 16 zikiwekezwa katika…
TBS Yahimiza Wajasiriamali Kuthibitisha Ubora wa Bidhaa zao Arusha
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limehimiza wajasiriamali kuchangamkia fursa ya kuthibitisha ubora wa bidhaa wanaozalisha bure kwa gharama za Serikali, hatua ambayo itawasaidia kuondokana na vikwazo vya kiabiashara. Mbali na wito huo kwa wajasiriamali, shirika hilo limewataka wananchi kuhakikisha wananunua…
WMA yawafundisha watoto vipimo, Naibu Waziri Maliasili apongeza
Na WMA – Dodoma Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Chande, amefurahishwa na uelewa mkubwa ulioonyeshwa na wanafunzi waliopata elimu ya vipimo katika banda la Wakala wa Vipimo – (WMA), kwenye Maonesho ya 33 ya Wakulima Nane Nane. Akizungumza…





