Category: MCHANGANYIKO
Makonda: Rais Samia ametoa bilioni 42. 34 kulipa fidia kwa wananchi Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa kiasi cha shilingi bilioni 42.34 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi wa Mkoa wa Arusha ili…
Suluhu mgawanyo wa mapato wa huduma za usafiri wa anga nchini yapatikana
Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) pamoja na Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) wafanikisha upatikanaji wa suluhu ya mgawanyo…
Dk Biteko awataka wazazi kuvumilia kutunza familia zao
📌 Asisitiza wazazi kutenga muda wa kuwa na watoto wao 📌 Asema familia imara ni msingi wa dunia imara 📌 Mashirika, Wadau wa Maendeleo waipongeza Serikali kuimarisha malezi ya watoto 📌 Zaidi ya kaya 15,000 zapata elimu ya malezi jumuishi…
CCM kufanya mkutano mkuu wa kihistoria jijini Dodoma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu maalum wa Taifa utakaoandika historia mpya katika uendeshaji wa shughuli za chama hicho kikongwe barani Afrika. Mkutano huo utafanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, jijini Dodoma,…
Dkt.Tulia kugombea Jimbo Jipya la Uyole
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Mbeya Mjini,Dkt.Tulia Ackson,ametangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya katika…