JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wananchi waelimishwa kuchagua mbinu za kisasa za kuvuna asali

Wananchi wanaendelea kuelimishwa kuhusu ufugaji wa nyuki kuwa ni fursa kubwa ya kipato na maisha bora kwani nyuki wanatupa asali yenye thamani kubwa sokoni, lakini pia wanasaidia kuchavusha mazao yetu na kulinda uhai wa mazingira. Ni muhimu wadau na wananchi…

NCAA kuimasha miundombinu ya maji ndani ya hifadhi

Na Mwandishi Wetu, Ngorongoro MAMLAKA ya hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii na Idara ya huduma za Uhandisi, inaendelea kuimarisha miundombinu ya maji katika vijiji vya Sendui na Irkeepusi vilivyopo tarafa ya Ngorongoro ikiwa…

Mgombea ubunge ACT Kawe awafariji waathirika wa moto soko la Kawe

Na Mwandishi Wetu Mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ametembelea Soko la Kawe kufuatia tukio la moto mkubwa ulioteketeza bidhaa na mali za wafanyabiashara wengi wa soko hilo. Katika ziara hiyo iliyofanyika…

Jamii haina budi kuachana na mila na desturi zenye madhara

Na WMJJWM-Dodoma Serikali inaendelea na juhudi za kuchochea maendeleo katika jamii  kupitia afua mbalimbali ikiwemo  utoaji wa elimu kuhusu masuala ya mila na desturi zinazofaa na zile zisizofaa kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara…

Kongomano la uchumi Jumuishi kuelekea Dira 2050 kufanyika Septemba 18 Mbeya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya KIGODA Cha Uprofesa cha Mwalimu J.K. Nyerere katika Taaluma za Umajumui wa Afrika (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP Centre), limeandaa…

THBUB yawanoa waandishi wa habari Arusha kuelekea Uchaguzi Mkuu

Na Zulfa Mfinanga,JamhuriMedia, Arusha Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeendesha mafunzo maalumu kwa waandishi wa habari mkoani Arusha ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kukuza na kulinda haki za binadamu pamoja na kuimarisha utawala bora…