JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kawaida asema Samia, Mwinyi walitumia vizuri fedha za Covid

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Zanzibar Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM), Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema mgombea urais wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Hussein Mwinyi walitumia vizuri fedha za Covid kwa kujenga…

Wanu: Samia, Mwinyi wameleta umoja, amani

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Zanzibar Mgombea ubunge Jimbo la Makunduchi, Wanu Hafidh Ameir (CCM), amesema anajivunia umoja na mshikamano wa amani na umoja uliopo. Wanu ametoa kauli hiyo leo Septamba 17,2025 alipopewa nafasi ya kusalimia maelfu ya wafuasi wa CCM katika…

Mgombea Haroun : Rais Samia, Mwinyi wamefanya kazi kubwa ya maendeleo

Mgombea Uwakilishi Jimbo la Makunduchi, Haroun Ali Suleiman amesema mgombea urais wa Chama Chama Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan na mgombea urais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi wamefanya kazi kubwa ya maendeleo. Suleiman amesema hayo leo Septemba 17 katika…

Mfanyabiashara arejesha mil 6.2/- ambazo hakuwasilisha TRA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya MAHAKAMA ya Wilaya Mbeya imemuhukumu Mfanyabiashara Benedicto Abel Matandiko wa Jijini la Mbeya adhabu ya kutofanya Kosa lolote la Jinai ndani ya miezi 6 baada ya Kutiwa hatiani kwa Makosa ya Kutokulipa Kodi Kinyume na…

Mamia wafurika Makunduchi Zanzibar kusikiliza sera za Dk Samia

Mamia ya wakazi wa Zanzibar wamefurika kwa wingi katika eneo la Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja Kwa ajili ya mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chama Chama Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan. Wananchi wameanza kufika kwenye viwanja hivyo saa…