JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ridhiwani awataka maafisa tawala, rasilimali watu kuimarisha matumizi ya teknolojia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewataka Maafisa Tawala na Rasilimali Watu nchini kuzingatia taratibu za utumishi na kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijitali iliyowekwa…

Wasichana wa shule 11 Mafia wanufaika na taulo za kike kutoka TEEMO

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Jumla ya seti 2,408 za taulo mbadala za kike (Reusable Pads) zimetolewa kwa wanafunzi wa kike katika shule 11 za sekondari Wilaya ya Mafia kupitia awamu ya pili ya mradi wa “Wezesha Wasichana – Tabasamu…

Serikali kushirikiana na taasisi za dini kuimarisha maadili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Taasisi za Dini nchini kuimarisha maadili kwa jamii na kukuza maemdeleo. Mhe. Sangu amesema hayo…

Dk Jafo awapambania maafisa maendeleo ya jamii nchini

MBUNGE wa Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo, ameitaka Serikali kuboresha mazingira ya kazi kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii nchini ikiwemo kuwapatia magari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi. Akichangia hotuba ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…

Tanzania kuwa na mkakati maalum wa mawasiliano wakati wa mlipuko wa magonjwa ya mifugo

Mkurugenzi Msaidizi wa Epidemiolojia na Magonjwa ya Mifugo Yanayovuka Mipaka (TADs) akitoa mchango wake katika majadiliano ya Warsha ya Uandaaji wa Rasimu ya Mkakati wa Kitaifa wa Mawasiliano Wakati wa Dharura kwa Huduma za Mifugo Tanzania, iliyofanyika leo Juni 1,…