JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

OASIS yaipongeza TRA kwa maboresho ya mifumo ya kiteknolojia ulipaji kodi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya OASIS Financial Services Ltd, Bw. Stambuli Myovela, ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kufanya maboresho makubwa ya mifumo ya kiteknolojia katika ukusanyaji na ulipaji wa kodi, hatua iliyorahisisha huduma…

Waziri Kombo abainisha mafanikio na vipaumbele vya Wizara kwa Kamati ya NUU

Na Mwandishi Wetu Waziri Kwa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa mwaka 2025/2026 na mpango wa bajeti wa mwaka wa Fedha 2026/2027 kwa Kamati ya…

Kodi zetu ni mzigo kwa wale wale

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, chini ya Balozi Ombeni Sefue, imewasilisha ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan wiki iliyopita. Tume imekuja na mapendekezo 284. Si madogo,…

TMA JNIA yatoa elimu kwa jamii kuadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani 2026

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Kituo cha Hali ya Hewa cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), imeadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa wadau…

Tanzania yaadhimisha Siku ya Ukombozi wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imeendelea kusisitiza umuhimu wa wananchi wake, hususan vijana, kutambua na kujivunia historia ya taifa pamoja na mchango wake katika ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika. Wito huo umetolewa wakati wa maadhimisho ya…