Category: MCHANGANYIKO
Masauni : Watanzania epukeni gesi zinazoharibu tabaka la Ozoni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imewataka Watanzania kuepuka kuingiza nchini gesi zilizopigwa marufuku na vifaa vinavyotumia gesi zinazoharibu Tabaka la Ozoni, ikiwemo majokofu na viyoyozi vilivyotumika, ili kulinda mazingira na kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Wito…
Rais Mstaafu Dk Kikwete ahitimisha ziara Tabora, akagua miradi ya afya ya JMKF
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Muasisi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amehitimisha ziara yake ya siku nne mkoani Tabora kwa kutembelea na kukagua zahanati pamoja…
Tanzania, Japan kuendeleza ushirikiano katika maeneo ya kimkakati
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Japan zimedhamiria kuendelea kuimarisha na kupanua wigo wa ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati yao, kwa kuendeleza maeneo yenye maslahi ya pamoja yatakayochochea maendeleo na kuleta manufaa kwa mataifa yote mawili. Dhamira…
Tume ya Utumishi wa Umma yaipa kongole Wizara ya Nishati kuzingatia sheria, kanuni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tume ya Utumishi wa Umma imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kuzingatia sera, sheria, kanuni na taratibu zinazoongoza Utumishi wa Umma katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku. Pongezi hizo zimetolewa Septemba 14, 2026, na…
Tanzania Yapiga Hatua Kubwa Katika Ujenzi wa Miundombinu ya Digital
Na Mwandishi wetu–Jamhuri MediaDar es salaam Mkurugenzi wa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Priscus Kiwango, amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika ujenzi wa miundombinu ya kidijitali na utoaji wa huduma za umma…
NMB yaingia 10 bora duniani kwa benki zenye mali ya dola bilioni 3–10
Benki ya NMB imeorodheshwa katika nafasi ya tisa duniani ndani ya Daraja la Sita la benki zenye mali ya kati ya Dola za Marekani bilioni 3 na bilioni 10. NMB ni miongoni mwa benki 500 kutoka nchi 89 zilizojumuishwa katika…





