JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wakulima, wafugaji watakiwa kujiunga na bima za kilimo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKULIMA na wafugaji nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya bima za kilimo na mifugo ili kulinda uwekezaji wao dhidi ya majanga yanayoweza kuathiri uzalishaji na kipato. Akizungumza kwenye Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma, Kamishna wa…

CUF kuamua nani kupeperusha bendera ya urais Uchaguzi 2025

Na Magrethy Katengu,Jamhuri lMediaDar es Salaam CHAMA cha Wananchi CUF kinafanya Mkutano Mkuu Maalum unatarajiwa kufanyika kesho Agosti 9,2025 kwa lengo ni kupitisha wagombea wa Urais.upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliopendekezwa na…

INEC yatangaza ratiba rasmi ya vyama kuchukua fomu za wagombea irais

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza ratiba ya kuchukua fomu za uteuzi kwa wagombea wa vyama 14 vya siasa waliopendekezwa kugombea nafasi za Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Dk Samia kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa Agosti 9, 2025 kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM katika…

Dkt. Samia: Tumeweka fedha nyingi katika umwagiliaji kukabili mabadiliko ya tabianchi

*Aitaka NIRC iendelee kufanya kazi kuwafikia wakulima *Asema utachochea uzalishaji na kukabiliana na ukame 📍NIRC:Dodoma Rais Dkt .Samia Suluhu Hassan, amesema katika kufikia azima ya mapinduzi sekta ya kilimo Serikali imechukua hatua ya kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya Umwagiliaji lengo…