JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu iwe nguzo muhimu

Na Issa Mwadangala- Jeshi la Polisi Wananchi, wachimbaji wa madini na wafanyabiashara Wilaya ya Songwe wametakiwa kuhakikisha wanalinda amani ikiwa ni pamoja na kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 29, 2025 kwa amani, utulivu na kuzingatia sheria za…

PBPA : Kiwango cha uagizaji mafuta nchini kimeongezeka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umesema idadi ya kampuni zinazoshiriki kwenye mchakato wa uagizaji wa mafuta zimeongezeka kutoka kampuni 33 mwaka 2021 hadi kampuni 73 mwaka 2025 sawa na ongezeko…

CHAUMMA yamteua Salumu Mwalimu kuwa mgombea kiti cha urais

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu Jumaa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Uamuzi hupo umetangazwa muda mfupi uliopita kwenye Mkutano Mkuu wa Chaumma unaoendelea kwenye ukumbi wa…

World Vegetable Center kuleta mageuzi sekta ya kilimo cha mbogamboga na matunda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Kituo cha Utafiti na Uendelezaji wa Kilimo cha Mbogamboga Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika (World Vegetable Center) kilichopo Tengeru, Arusha, kimesema kuwa kitaendelea kuongoza juhudi za kuleta mageuzi katika sekta ya kilimo cha…

UWT Tabora yataka washindi kura za maoni kuwa watulivu

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora WANAWAKE waliofanya vizuri kwenye mchakato wa kura za maoni za udiwani na ubunge wa viti maalumu kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wametakiwa kuwa watulivu kwa kuwa uteuzi wa mwisho utafanywa na vikao vya ngazi za…