JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wizara ya Nishati endeleeni kusimamia ufanisi wa miradi ya nishati – DED Mkalama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Mkurugenzi wa Wilaya ya Mkalama, Mkoani Singida, Asia Juma Messos ametoa wito kwa Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia vyema Taasisi zake ili ziendelee kutekeleza miradi ya Sekta ya Nishati kwa ufanisi na hivyo kuleta maendeleo…

Umoja na mshikamano ni silaha ya mtangamano imara wa SADC

Umoja na mshikamano imeelezwa kuwa ni silaha pekee ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ya kuimarisha mtangamano imara na wenye nguvu, utakaowezesha kufikia malengo yaliyowekwa na jumuiya hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kikao cha…

World Vegetable Centre, Chuo Kikuu Taiwan kushirikiana kukuza kilimo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Tanzania inategemewa kuzalisha wataalamu wengi zaidi katika uzalishaji wa mbegu bora chotara za mazao mbalimbali baada ya Chuo Kikuu cha Taiwan kuonesha utayari wa kuanzisha program mbalimbali za mafunzo katika taasisi ya Kimataifa ya Utafiti…

Zambia, Malawi kuinkgia Mareani kwa dola 15,000

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kwamba raia wa Zambia na Malawi sasa watatakiwa kulipia dhamana ya dola 15,000 ili kuweza kuingia nchini Marekani kwa vibali vya biashara ama utalii. Uamuzi huo unaanza kutekelezwa tarehe 20 Agosti kama…

NLD yazindua ilani yake ya uchaguzi 2025

Chama cha National League for Democracy (NLD) kimezindua rasmi Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ikiwa ni hatua muhimu kuelekea katika mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyowasilishwa…