Category: MCHANGANYIKO
Wizara ya Viwanda na Biashara yaomba Bunge kuipitishia bilioni 135.7 kwa Bajeti ya 2025/2026
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Viwanda na Biashara imeomba kuidhinishiwa na Bunge kiasi cha shilingi bilioni 135.7 kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ya maendeleo na matumizi ya kawaida kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Hayo yamebainishwa leo Mei…
Polisi Dodoma, wanafunzi vyuo vikuu wakaa meza moja kutafuta suluhu ya uhalifu vyuoni
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kufuatia kuongezeka kwa matukio ya ukatili na vitendo vya kihalifu katika vyuo vikuu mkoani Dodoma, kumelilazimu Jeshi la Polisi mkoani hapa kushirikiana na viongozi wa Serikali za wanafunzi kutoka Vyuo mbalimbali vya elimu ya juu…
WMA yahakiki vipimo asilimia 99 ya lengo
Na Veronica Simba – WMA Serikali kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) nchini imekagua na kuhakiki vipimo 1,013,859 ambavyo ni sawa na asilimia 99.2 ya lengo la kukagua vipimo 1,022,342 katika mwaka wa fedha 2024/2025. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt….