JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mama Ulega akabidhi gari, vifaa vya ujasiriamali kwa UWT Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (MCC), Mary Chatanda, amepokea mradi mkubwa wa vifaa vya ujasiriamali wa upishi na gari jipya kwa ajili ya kuimarisha utendaji…

Tanzania na mageuzi makubwa ya sekta ya ardhi

Serikali ya Tanzania imetangaza mageuzi makubwa ya sekta ya ardhi yanayolenga kuboresha usimamizi, kuchochea ukuaji wa uchumi, na kulinda haki za wananchi wake. Akizungumza katika siku ya pili Mkutano wa Kimataifa wa Sekta ya Ardhi ulioandaliwa na Benki ya Dunia…

Marekani, China kuanza mazungumzo kuhusu vita vya kibiashara

MAAFISA wa Marekani na China wanatazamiwa kuanza mazungumzo wiki hii ili kujaribu kupunguza vita vya kibiashara kati ya mataifa hayo mawili yenye uchumi mkubwa duniani. Naibu Waziri Mkuu wa China He Lifeng atahudhuria mazungumzo hayo nchini Uswizi kuanzia tarehe 9…

Mvua yaleta maafa Moshi, watatu wafariki kwa kuagukiwa na nyumba wakiwa wamelala

Na Kija Elias, JamhuriMedia, Moshi Watu watatu wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kubomoka kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey…

Mbaroni kwa tuhuma za kumuua mwanaye na kumtupa chooni Iringa

Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Iringa Jeshi la Polisi mkoni Iringa linamshikilia Joseph Yustino Mhilila mkazi wa mtaa wa Lukosi Kata ya Mtwivila kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Timotheo Mhulikwa (6) aliyepotea tangu Aprili 1, 2025. Akizungumzia tukio hilo Mwenyekiti…