Category: MCHANGANYIKO
Uchakavu waitesa Hoteli ya Bahari Beach
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hali ya hoteli ya kitalii yenye hadhi ya nyota tano inayomilikiwa na Serikali ya Libya, Bahari Beach Ledger Plaza, ni mbaya kiasi cha kuibua migogoro ya mara kwa mara kati ya uongozi na wafanyakazi….
Israel yashitakiwa kwa mauaji ya wanahabari
Na Nizar K Visram Shireen Abu Aqleh alikuwa mwanahabari wa Kipalestina aliyeajiriwa na Shirika la Utangazaji la Al Jazeera hadi Mei 11, 2022 alipopigwa risasi na kuuawa na wanajeshi wa Israel. Aliuawa akiwa kazini akiripoti habari za wanajeshi hao kuvamia…
Lipumba na tuzo ya Mo Ibrahim kwa Rais Samia
MOROGORO Na Everest Mnyele Tuzo ya Mo Ibrahim ilianzishwa mwaka 2007 na bilionea wa Sudan, Mohamed ‘Mo’ Ibrahim, kupitia taasisi yake kwa madhumuni ya kuwatuza viongozi wa Afrika, hasa marais na wakuu wa serikali walioonyesha uongozi uliotukuka katika nchi zao. …
Nape: Sheria ya habari inabadilishwa mwaka huu
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema katika mwaka huu wa fedha serikali itahakikisha inakamilisha mchakato wa mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari (MSA) ya Mwaka 2016. Akihitimisha michango ya wabunge…
WAGOMBEA WENZA: Ni uteuzi wa kimkakati
MOMBASA Na Dukule Injeni Hatimaye wagombea urais, hususan wa muungano wa Azimio la Umoja One, Kenya Alliance na Kenya Kwanza wameteua wagombea wenza siku chache tu kabla ya Mei 16, mwaka huu, iliyotengwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka…
Ni mshikemshike Liverpool, Real Madrid
PARIS, UFARANSA Liverpool inalitaka taji la saba la Ulaya pamoja na kulipa kisasi cha fainali ya Ligi ya Mabingwa 2018 dhidi ya Real Madrid inayosaka kombe lake la 14 la mashindano hayo makubwa zaidi kwa klabu barani humo. Liverpool watakuwa…





